Sunday, June 14, 2015

KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE Burudani Kidogo toka kwa Ommy Dimpoz. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) - MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA...
Bao za Egypt zilifungwa kipindi cha pili baada ya kwenda 0-0 kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Group G. Bao za Egypt zilifungwa na Rami Rabia dakika ya 60, Bassem Morsi 64, Mohamed Salah 69. Taifa Stars ilionekana kuzidiwa hasa kipindi cha pili ambapo muda mwingi ilikuwa ikishambuliwa na Wamisri walioonekana kuwa na njaa ya ushindi kwa muda wote wa mchezo kutokana na kutopata goli kwenye...
Jack Wilshere dakika ya 73 aliifungia bao la kuongoza England kwa kufanya 2-1dhidi ya Slovania. Bao la tatu lilifungwa na Nahodha wa Timu hiyo Wayne Rooney katika dakika za mwisho dakika ya 86 huku Slovenia wakifungiwa bao la pili kupitia kwa Nejc Pecnik dakika ya 84. Jack Wilshere aliisawazishia bao England kipindi cha pili dakika ya 57 na kufanya 1-1 wakiongozwa na Mwamuzi Undiano Mallenco....
Paul Scholes, Andy Cole wakifurahia pamoja na Louis SahaWimbo kabla ya MechiManahodha wa Timu  Paul Scholes na Paul Breitner wakiingia UwanjaniKikosi cha Man United, akiwemo Paul Scholes, Edwin van der Saar, Dwight Yorke na wengine kwenye mchezo uliowakutanisha Magwiji hao wa soka na kucheza mchezo dhidi ya wajerumani Timu ya Bayern Munich(Magwiji) kwenye Uwanja wa Old Trafford. Andy...

waliotembelea blog