Thursday, May 8, 2014

Na Boniface Wambura, Dar es salaam Timu ya Nigeria (Flying Eagles) imewasili nchini kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 dhidi ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) itakayochezwa Jumapili (Mei 11 mwaka huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Flying Eagles yenye msafara wa watu 32 imewasili leo (Mei 8 mwaka huu) alfajiri kwa ndege ya...
Aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga sc, Hans Van Der Pluijm ( wa kwanza kulia) akiwa na wasaidizi wake, Boniface Mkwasa ( wa pili kulia) na Juma Pondamali ( wa tatu kulia) KOCHA  mkuu wa Young Africans, Mholanzi, Hans Van der Pluijm amepata kazi mpya nchini Saudi Arabia na tayari ameshaaga rasmi mchana huu kwa wachezaji wake, viongozi, wapenzi na wanachama wa klabu...
...
Jose Mourinho anaweza kuwa kocha wa nne kumaliza msimu bila kombe kwa klabu ya Chelsea tokea Roman Abramovich aanze kuimiliki klabu hiyo. Alianza Claudio Ranieri kukosa kombe akafukuzwa kazi akifuatiwa na Carlo Ancelotti na Avram Grant. Hadi sasa klabu ya Chelsea imeshatolewa kwenye michuano yote ya ndani na nje ya England huku ikiwa nafasi ya tatu kwenye ligi kuu. Ni wazi kuwa...
TAYARI mchakato wa uchaguzi katika klabu ya Simba sc umeshaanza  na tayari  mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi, Damas Ndumbaro ametangaza kuwa juni 29 mwaka huu uchaguzi utafanyika Wapo watu wengi wanaotamani kuiongoza klabu ya Simba ambayo kwasasa ipo katika hali ngumu kwa soka la uwanjani. Kumaliza nafasi ya nne nyuma ya Mbeya City, Yanga...
  Na Baraka Mpenja , Dar es salaam MOJA ya kilio kikubwa cha watanzania ni kutaka kuona timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa stars inafanya vizuri katika mashindano ya kimataifa. Tangu iliposhiriki kwa mara mwisho fainali za kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1980 nchini Nigeria, Taifa Stars haijafanikiwa kupata nafasi kama hiyo. Kuelekea fainali za mataifa ya Afrika, AFCON zitakazofanyika...
Dakika ya 12 tu Jack Colback aliipachikia Sunderland bao, Bao la pili lilifungwa na Fabio Borini katika dakika ya 31 baada ya kupata mpira kutoka kwa Sebastian Larsson.  Fabio Borini akitupia katika dakika ya 31 na kufanya 2-0 kabla ya kwenda mapumziko. Kama kawaida kwa Fabio Borini akishangilia aina yake ile alipoipachikia bao la pili Sunderland. VIKOSI: Sunderland: Mannone, Vergini,...
Real Madrid walilazimishwa Sare ya Bao 1-1 na Real Vallodolid na hilo ni pigo kwao kutwaa Ubingwa na pia kumpoteza Staa wao mkubwa Cristiano Ronaldo aliecheza Dakika 8 tu za kwanza na kupumzishwa baada kujisikia maumivu na nafasi yake kuchukuliwa na Chipukizi Alvaro Morata.Hivi karibuni Ronaldo amekuwa akikabiliwa na tatizo la Musuli za Pajani ambalo lilimweka nje kwa Wiki 3.Real sasa wako...
Edin Dzeko akishangilia vikali baada ya kuifungia bao mbili City na kupanda kileleni usiku huu. Mtanange wao wa mwisho kuamua nani Bingwa kati yao na Liverpool, Huku Ushindi wa City wa bao 4-0 ukiwakalisha kileleni na pointi zao 83 na Liverpool wakishika nafasi ya pili wakiwa na pointi 81. Dzeko hapa aliwaunganisha wachezaji wa City kwa pamoja na kumpongeza. Kipindi cha kwanza kilimalizika...
WACHEZAJI maarufu wa Klabu ya AC Milan ya Italy, Kaka na Robinho, sasa ni rasmi hawatacheza Timu ya Taifa ya Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia zinazoanza kuchezwa Nchini Brazil kuanzia Juni 12 hadi Julai 13 baada Kocha wa Brazil, Luiz Felipe Scolari', Leo kutangaza Kikosi chake cha awali cha Wachezaji 23.Pamoja na hao wawili pia hawamo Mkongwe Ronaldinho na Winga wa PSG, Lucas Moura.Wachezaji ...

waliotembelea blog