Tuesday, October 21, 2014

By Aidan Charlie Seif FC Barcelona leo wanakutana na Ajax fc ya Uholanzi katika mechi ya ligi ya mabingwa wa ulaya – huku wakiwa wanataka kurudisha hali yao ya ushindi baada ya kupoteza mechi yao iliyopita dhidi ya Paris Saint-Germain. De Boer – Cocu na Enrique wakati walipokuwa wakiicheza FC Barcelona Mechi hii inawakutanisha watu ambao falsafa za mchezo wa zinafanana – makocha wa timu...
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya mauaji bila ya kukusudia. Jaji aliyetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa, alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake...
Mahabiki wa timu ya Simba Mashabiki wa timu ya Yanga Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000. Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia...
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Abbas Mtemvu (kushoto),katika mkutano huo Lundenga alitolea ufafanuzi swala la umri wa Mrembo...
Kipindi cha Pili Man United walianza kwa kumtoa Ander Herrera na kumwingiza Marouane Fellaini ambae aliwapa manufaa makubwa kwa kusawazisha kwa Bao safi katika Dakika ya 48 na hilo ni Bao lake la kwanza kwa Man United katika Ligi.Lakini udhaifu wa Difensi ya Man United, wakati wakiwa wanatawala Gemu, uliwapa WBA mwanya mkubwa kupiga Bao la Pili Dakika ya 66 kupitia Saido Berahino.Man ...
Na Faustine Ruta, Bukoba Mh.Mbunge wa Jimbo la Bukoba VijijiniJason Rweikiza ameendelea na Ziara katika Jimbo lake lenye kata 39 kuunga mkono tamko la Rais Jakaya Mrisho Kikwete  la kujenga Maabara katika kila Kata kwa ajili ya Wanafunzi wa Masomo ya Sayansi. Mh. Rweikiza anaendesha Mwenyewe Helkopta akisaidiana na Rubani mwenzake amesema kutokana na Muda kubana imebidi atumie usafiri...

waliotembelea blog