Bado saa zinasogea na kila mpenda soka macho na akili yake kaelekeza Abuja Nigeria kusubiri nini kitatokea, Mbwana Samatta
atafanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika anayecheza Ligi ya
ndani? lakinia vipi kwa upande wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa
Afrika kwa jumla nani atatwaa...