Saturday, August 9, 2014

Drogba alisaidia Nchi yake katika upatanishi baada ya mgogoro wa kisiasa Mchezaji soka maarufu wa Ivory Coast Didier Drogba, ametangaza kustaafu kutoka katika soka ya kimataifa. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36, alichezea Ivory Coast zaidi ya mara miamoja. Alishiriki kombe la dunia mara tatu na mashindano ya kombe la Afrika mara 2 Amesema kuwa anajivunia kusaidia nchi yake kufika katika nafasi...
Meneja Bidhaa wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo wakati uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kulia ni Mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia...
Majembe ya kazi: Manahodha wa Barcelona kutoka kushoto Sergio Busquets, Lionel Messi, Xavi na Andres Iniesta KIUNGO mkongwe, Xavi Hernandez ameteuliwa kuwa Nahodha mpya wa wazee wa Katalunya, FC Barcelona kuanzia msimu ujao. Kitambaa cha unahodha wa Barca kimeachwa wazi na beki Carles Puyol aliyestaafu soka mwishoni mwa msimu uliopita na kura zikapigwa kumpata atakayerithi mikoba...
Mwaka mgumu: Phil Neville alisema msimu uliopita ulikuwa wa majanga kwa Manchester United chini ya David Moyes. Imechapishwa Agosti 9, 2014, saa 1:50 asubuhi PHIL Neville amekiri kuwa kumteua David Moyes kuifundisha Manchester United lilikuwa janga kubwa. Neville, ambaye aliteuliwa na Moyes kuwa kocha msaidizi namba moja msimu uliopita alisema: 'Wote tulitakiwa kuwajibika,...
Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo alishinda kwa point  Bondia Said Memba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Chokoraa alishinda kwa point picha na  Bondia Khalid...
      TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika. Staa kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo usiku huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib Bilali akisalimiana...
  Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Ghalib Bilal akitoa hotuba.   Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Eric Shigongo naye akitoa neno la matumaini kwa maelfu ya Watanzania waliofurika Uwanja wa Taifa, Dar. Mgeni rasmi Dk....
 Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru  ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha...
  Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo.   Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga.   Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake...

waliotembelea blog