...
Tuesday, January 28, 2014



Inauma
lakini ndio hivyo tena...mzee huyu ambaye ni mmoja kati ya wasanii
walioanzisha kundi la Futuhi na kulifanya ling'are vilivyo kupitia kituo
cha luninga cha Star TV, hatunaye tena duniani.
Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jionI.
Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Mwenyezi...
Subscribe to:
Posts (Atom)