Tuesday, September 1, 2015

Manchester United wametoa Taarifa kuhusu Uhamisho ulioshindikana Dakika za mwisho kwa Kipa wao David De Gea kuhamia Real Madrid baada ya kulaumiwa na kukana kabisa kuwa si kosa lao. Mapema Leo Real Madrid walitoa Taarifa yenye Vipengele 10 wakiwashutumu Man United kwa kuchelewesha Uhamisho hadi Dirisha la Uhamisho kufungwa huko Spain. Kutokana na hilo, De Gea anabaki Mchezaji wa Man...
KINDA wa umri wa miaka 19, Anthony Martial amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 36 kujiunga na Manchester United kutoka Monaco katika dili ambalo dau linaweza kupanda hadi Pauni Milioni 58. Mchezaji huyo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya Ufaransa amesaini Mkataba wa miaka minne katika siku ya leo ya mwisho ya usajili. Aliwasili...
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuondoka nchini kesho usiku kuelekea nchini Congo-Brazzavile kwenye michuano ya Michezo ya Afrika (All Africa Games) inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 3, mwaka huu. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa TFF, Twiga Stars haikuondoka leo kuelekea nchini Congo – Brazzavile, Shirikisho bado linasubiri...
 Kaimu Mku wa Wilaya ya Msalala, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, Meneja Mkuu Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu, BGML, Michelle Ash, (katikati) na Mkurugenzi wa Maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, wakipapu maji wakati wa uzinduzi rasmi wa kisima kirefu cha maji kilichojengwa kwa ufadhili wa kampuni hiyo huko Bugarama. BGML, inayomilikiwa na...
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi. Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi. Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba...
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.  Wakazi wa Masasi wakiwa...
Klabu ya soka ya Chelsea imefunga dirisha la usajili msimu huu kwani, kwa Uingereza dirisha la usajili lilikuwa limefungwe jioni ya Septemba 1 wakati kwa upande wa Hispania na Ufaransa wao dirisha la usajili lilifungwa usiku wa August 31. Chelsea imemalizia usajili wake kwa kumsajili beki kutoka...
Klabu ya Manchester United ya Uingereza ipo karibuni kumsajili mshambuliaji chipukizi kutokea Monaco ya Ufaransa, licha ya kuwa bado haijathibitika kuwa wamemsajili ila tayari Anthony Martial ameripotiwa kufanya vipimo vya afya katika klabu ya Manchester United. Anthony Martial anaripotiwa...

waliotembelea blog