Moja kati ya majina yaliojipatia umaarufu na heshima kubwa katika soka ni
Zinedine Zidane na
Ronaldinho ambao uwezo wao umeifanya dunia ya soka kutokusahau mchango wao,
Zidane ni mahiri katika kucheza mpira na kufanyia mbwembwe kama ilivyo kwa
Ronaldinho.
Naomba nikusogezee video yao kila mmoja akionesha uwezo wake katika
soka, mtu wangu wa nguvu naomba jikumbushe halafu usisahau kuacha
comment yako nani unamkubali zaidi katika umahiri wa kuuchezea mpira.
0 maoni:
Post a Comment