Tuesday, December 9, 2014

MANCHESTER UNITED wameendelea kugawa dozi mfululizo baada ya leo tena kuichapa bao 2-1 timu ya Watakatifu Southampton kwenye Uwanja wao wa Saint Mary. Bao za United zilifungwa zote na Mshambuliaji wao Matata Robin Van Persie. bao la kwanza lilifungwa dakika ya 12 kipindi cha kwanza baada ya kuwatoka Mabeki wa Southampton na kufunga bao hilo. Nao Southampton waliongeza mashambulizi kipindi...
Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania, Picha na Vijimabo Blog Mzuka...
Idris akishangilia kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi wa BBA Hotshots Kijana mtanashati kutoka Tanzania, Idris Sultan amefanikiwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi yake kwa kutawazwa kuwa mshindi wa shindano la Big Brother Hotshots lililofikia tamati yake usiku wa jana(Nov 7) nchini Afrika kusini baada ya kukaa mjengoni kwa takribani siku 63 ambazo ni sawa na miezi miwili pasipo...
Mtoto wa Miaka 8, Martha Godfrey amejinyakulia kitita cha Tsh Milioni Moja leo baada ya kuwabwaga wenzake watano walioingia tano bora katika Shindano la kusoma Biblia hapa Mkoani Kagera. Shindano lililokuwa likishindaniwa na watoto walio Chini ya Umri wa Miaka 15 ambalo lilishirikisha Wilaya mbalimbali za hapa Mkoani Kagera. Wilaya zilizoshiriki ni Muleba, karagwe na Misenyi na katika...

waliotembelea blog