Thursday, October 10, 2013

 Navy SEAL ni kikosi maalumu cha askari wa Marekani ambacho hutumwa kutekeleza oparesheni maalumu ikiwemo kuwakamata watuhumiwa maalumu wa kimataifa ambao wamekuwa wakitafutwa kwa muda mrefu.  NAIROBI, Kenya Imebainika kwamba mtu aliyekuwa akitafutwa na kikosi maalumu cha Navy SEAL mwishoni mwa wiki ni raia wa Kenya ambaye alipanga kuvamia ofisi za Bunge na ofisi za Makao...
Rais wa Cameroon Paul Biya amemsihi  mshambulizi wa timu ya taifa ya soka  Samuel Eto'o kutostaafu kucheza soka la Kimataifa. Mshambulizi huyo wa Chelsea amekutana  na wawakilishi wa rais Biya jijini Yaounde  kujadiliana kuhusu hatima ya Eto'o ambaye tayari  alikuwa ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa. Baada ya kikao hicho Eto'o alikubali kuichezea...
 Uongozi wa chuo cha ualimu -ERA kinachotarajiwa  kufunguliwa januari mwakani,wameongea na wanafunzi  wa shule ya sekondari bilele na kuwataka kuzingati mambo  ya msingi wakati wakifanya mtihani wa mwisho kuhitimu  kidato cha nne.(baadhi ya majengo ya chuo cha ualim  Mwl  ocham .o. collins na mwl  Pauline ngina  wakisaini  kitabu...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), na kuzikubalia kampuni tano za simu nchini kujiunga katika kesi ya kupinga tozo ya kodi za simu ya Sh 1,000 kwa kila laini kwa mwezi.  SOMA ZAIDI....... Kampuni hizo zinaungana na Chama cha Kutetea Walaji kupinga utekelezaji wa kodi hizo uliotakiwa kuanza Julai mwaka huu, baada ya kupitishwa...
RATIBA: Jumamosi Oktoba 12 Kagera Sugar v Yanga Simba v Tanzania Prisons Jumapili Oktoba 13 Ashanti United v Coastal Union Ruvu Shooting v Rhino Rangers Mgambo JKT v Mbeya City Azam FC v JKT Ruvu Mtibwa Sugar v JKT Oljoro MSIMAMO ULIVYO MPAKA SASA 2013-2014 NA TIMU P W D L GD GF POINTI 1 Simba SC 7 4 3 0 11 16 15 2 Azam 8 3 5 0 6 11 14 3 Mbeya City 8 3 5 0 7 11 14 4 Coastal...
Mapema Asubuhi hii Ndege ya Precision Air ikiingia kwenye uwanja wa Ndege wa Bukoba, kuwaleta wachezaji wa Yanga ambao wanatarajia kucheza mchezo wao na Wenyeji Kagera Sugar kesho kutwa Jumamosi.Wachezaji wa Yanga wakishuka, mbele ni Mbuyu Twite wakishuka uwanja wa Ndege Bukoba Nizar Khalfani nae yupo kwenye kikosiWachezaji wakiendelea kushuka kwenye ndegeTayari wamekanyaga Ardhi ya BukobaKama...
Damiel Sturridge akifanya mazoezi na wenzake wa England tayari kujiwefa sawa kupambana na Montenegro michuano ya kwenda kucheza kombe la Dunia Brazil 2014.Kocha mkuu wa England Roy Hodgson kwenye mazoezi akiangalia vijana wake Daniel Sturridge na Daniel Welbeck wakiteta jambo na kufurrahia leo kwenye mazoezi kwenye uwanja wa Colney leo Alhamis  Wayne Rooney na Daniel Sturridge...

waliotembelea blog