Uongozi wa chuo cha ualimu -ERA kinachotarajiwa
kufunguliwa januari
mwakani,wameongea na wanafunzi
wa shule ya sekondari bilele na kuwataka
kuzingati mambo
ya msingi wakati wakifanya mtihani wa mwisho kuhitimu
kidato cha nne.(baadhi ya majengo ya chuo cha ualim
Mwl ocham .o. collins na mwl Pauline ngina
wakisaini kitabu cha wageni shule ya bilele
Mwl Tulla william (mwl wa taaluma) akiwakaribisha
uongozi kutoka chuo cha ualimu ERA kuongea na wanafunzi.
umakini..wanafunzi wakisikiliza kwa makini
Bw mushobozi na mwl wa bilele
bw jeremiah mdau wa ERA
wanafunzi wakisikiliza
mwl ocham .o. collins (kutoka sauti) akieleza
maswala muhimu ya wanafunzi kuzingatia kabla ya mtihani wa mwisho
Mwl Pauline ambae ni mkuu wa chuo ERA
mtarajiwa akiwaeleza wanafunzi
mafunzo
yatakayotolewa na chuo cha ERA,CHUO
KITATOA MAFUNZO kozi ya
ualimu daraja la 3A, Stashahada(diploma ya ualimu)
kwa miaka miwili,
kituo cha kufanyia mitihani
ya kujitegemea, Darasa la wanaorudia
mitihani
ya kidato cha nne (pc) kwa mwaka mmoja
wanafunzi wakipata soda kama kiburudisho, wakati wakisikilizapicha ya pamoja baada ya kufundwa
Bi Paskazia barongo mkurugenzi wa passy community service ltd na
mkurugenzi mkuu wa chuo cha ERA,ambae yuko nchini sweden kwa maandalizi
ya ufunguzi wa chuo mwakani.
0 maoni:
Post a Comment