
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho akishuka kwenye
basi la Yanga muda mfupi uliopita tayari kwa mechi ya saa 10:00 dhidi ya
KMKM ya Zanzibar
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (mbele) na Haruna Niyonzima
(nyuma yake) wakielekea vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kipute
cha Kombe la Kagame dhidi ya KMKM
Joseph Zuttah kushoto anaanzia benchi leo
...