Martín Demichelis ndie
aliyewasawazishia bao na kufanya 2-2 katika dakika ya 83 baada ya kazi
nzuri ya Aleksandar Kolarov kutoa pande kwa Demichelis.Jack Wilshere akishangilia bao lake. Jack
Wilshere dakika ya 63 aliisawazishia Arsenal na dakika ya 74 kipindi
hicho cha pili Alexis Sánchez aliwapa bao la pili Arsenal na kufanya
2-1 dhidi ya City baada ya kazi nzuri ya Jack Wilshere.Sergio...
Saturday, September 13, 2014



Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT, Rachael akiwa
na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu
kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini
Shinyanga.
Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,atambulikae kwa jina
la kisanii Ommy Dimpo akiwaimbisha mashabiki huku akisherehekea siku
yake ya kuzaliwa na wakazi...


Louis van Gaal anaamini kumaliza kwenye Tatu Bora katika Ligi Kuu England Msimu huu ni lengo ambalo linaweza kufikiwa.
Msimu uliopita, chini ya Meneja
alietimulia David Moyes, Man United walimaliza Nafasi ya 7 na kukosa
kucheza Mashindano ya UEFA Ulaya.Juzi, akiongea na Wawekezaji na pia kutangaza Mapato ya
Rekodi, Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Man United, Ed Woodward, alisema
Bajeti...


Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kesho Jumamosi (Septemba 13 mwaka huu)
saa 4 asubuhi litaendesha mafunzo ya matumizi ya tiketi za elektroniki
kwa wadau wa mpira wa miguu Dar es Salaam.Mafunzo hayo Uwanja wa
Taifa, na kushirikisha wasimamizi wa mechi, viongozi wa Chama cha Mpira
wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) na makatibu na maofisa habari wa
klabu za Azam na Yanga.Washiriki...


ARSENE Wenger kesho anawakabili mabingwa
watetezi wa ligi kuu soka nchini England, Manchester City katika mchezo
wa ligi kuu uwanja wa Emirates.Baada ya kumsajili Danny Welbeck, je, kikosi kitakakuwa kama inavyoonekana pichani juu?Kuna majeruhi wachache waliojitokeza kwenye mechi za kimataifa ambao ni Aaron Ramsey, Mikel Arteta na Mesut Ozil.Lakini inaonekana Wenger ana chaguo kubwa la wachezaji...


Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif
Sharif Hamad akimkabidhi Ngao ya Jamii nahodha wa timu ya KMKM, Khasim
Ali baada ya kuifunga Shaba ya Pemba 2-0 katika mchezo uliofanyika
kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar juzi. Kulia ni Meneja Mauzo wa
kinywaji cha Grandmalt, Kassiro Msangi. (Na Mpiga Picha Wetu) Makamu
wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi...


MENEJA
wa Swansea City Garry Monk ameshinda Tuzo ya Wadhamini Barclays ya Ligi
Kuu England na kutajwa ndie Meneja Bora wa Mwezi baada ya kuongoza Timu
yake kushinda Mechi zote Tatu za Ligi Kuu England. Swansea
wamefungana kileleni na Chelsea ambao wako juu kwa ubora wa Magoli na
Meneja wao Jose Mourinho alikuwemo kwenye kugombea Umeneja Bora wa
Agosti. Diego Costa akiwa amebeba tuzo yake...


LOUIS
van Gaal amesema Danny Welbeck aliuzwa Arsenal kwasababu hakuwa mzuri
sana kwa Manchester United, lakini amekataa kuwa klabu imeharibu sera
yake ya soka la vijana.
Majira ya kiangazi, United walitumia paundi milioni 150 katika usajili
wa wachezaji wapya, wakiwemo Angel di Maria na Radamel Falcao.
Kitendo hicho kimezua maswali kuwa klabu hiyo imewageuzia mgongo
wachezaji vijana waliokulia...


Kesho jumapili, Rio Ferdinand atarudi katika klabu yake ya zamani, Manchester United akiichezea Queens Park Rangers
RIO Ferdinand anarudi Manchester United
kwa mara ya kwanza kesho jumapili, lakini amelalamika kuwa klabu hiyo
aliyoichezea kwa miaka 12 kamwe haikumpa nafasi ya kuaga kabla ya
kujiunga na QPR.
Ferdinand aliichezea United mechi 455 na
alitoa mchango mkubwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)