Thursday, January 12, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka watatu kutoka kulia Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa wakwanza kulia pamoja na viongozi wengine.  Rais wa Jamhuri ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiongea na wananchi wakati wa sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar ambapo alisema mbali za jitihada zilizofanywa na serikali hiyo katika kuinua maisha ya wazanzibar ameahidi kuendelea kusimamia rasilimali ili zitumike kwa maslahi ya wananchi wote. 2-Makamo wa Pili wa Rais Zaznzibar Balozi Seif...
 Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania  wakionyesha uwezo wao wa kupigana bila silaha katika Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye wawnja wa Aman Januari 12, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)   Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania  wakionyesha  jinsi matofari yanavyoweza kuvunjwa juu ya kichwa katika maadhimisho...
BAO za Suarez, Neymar na Messi zimewapeleka Mabingwa Watetezi FC Barcelona Robo Fainali ya Copa del Rey, Kombe la Mfalme wa Spain, walipoifunga Athletic Bilbao 3-1 huko Nou Camp hapo Jana. Wakiwa wamefungwa 2-1 katika Mechi ya Kwanza, Barca walitangulia kufunga Dakika ya 36 kwa Bao la Luis Suarez likiwa Bao lake la 100 katika Mechi 120 za Barca. Neymar aliongeza Bao la Pili Dakika ya 47...
Southampton imeifunga Liverpool 1-0 huko Saint Mary hapo Jana katika Mechi yao ya Kwanza ya Nusu Fainali ya EFL CUP, ambalo ndio Kombe la Ligi huko England. Juzi, kwenye Mechi nyingine ya Kwanza ya Nusu Fainali nyingine iliyochezwa Old Trafford, Manchester United iliichapa Hull City Bao 2-0 kwa Bao za Juan Mata na Marouane Fellaini. Bao la ushindi la Southampton, ambao ni maarufu kama...

waliotembelea blog