Saturday, May 17, 2014

Jose Chameleone akiwa meneja wake mpya. Msanii aliyejinyakulia tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki akitokea Uganda Jose Chameleone ameamua kuajiri meneja mpya katika kazi zake za sanaa. Kwa mujibu wa Jose Chameleone Meneja mpya anaitwa Robert Jackson Nkuka. Meneja mpya...
Kikosi cha TP Mazembe Klabu ya soka ya TP Mazembe ya nchini Congo jana imechezea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa El Hilal Omdurani ya Sudan katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika. El Hilal walianza kutibua mipango ya Mazembe katika dakika ya 51 baada ya Salah Al Jizoli kuandika bao la kuongoza...
Mb Doggy msanii anayetamba na wimbo wa baby mbona umenuna hivi sasa. Mwanamuziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Doggy amekamilisha video ya wimbo wake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Baby Mbona Umenuna’. Video ya wimbo huo imetengenezwa na Abby Kazi, ambapo imekamilika wiki hii. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Qs Mhonda J Entertainment,...
Rais wa shirikisho la kandanda ulimwenguni, FIFA, Sepp Blatter, amethibitisha ilikuwa kosa kuchagua Quatar kuwa mwenyeji wa kombe la dunia la mwaka wa 2022. Katika mahojiano na televisheni nchini Uswisi, Sepp Blatter aliulizwa iwapo kuiruhusu Qatar kuwa mwenyeji wa kombe hilo ambalo huchezwa kati ya mwezi Juni na Julai ilikuwa kosa, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya hewa katika nchi hiyo...

waliotembelea blog