Saturday, July 13, 2013

In a hushed conversation between Nando and Bimp, Nando narrated how he got infected with an STD after his liason with Selly! For the past days we have been seeing Nando and Selly who were once an item getting distant and avoiding each other but not knowing what happened between them. Thank God that nothing can be kept secret forever and so we had to know the cause why the two fell...
    Rais mstaafu, Benjamin Mkapa.   Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na wadau wengi wa amani nchini, kutaka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri amani ili kunusuru Taifa na matukio ya kuhatarisha amani ambayo yanaonekana kuinyemelea nchi. Mkapa alisema hayo jana jijini hapa alipozungumza na maaskofu, mapadri na uongozi wa Chuo Kikuu cha...
   Mwanamuziki staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye amepotea katika anga la muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya, amejitokeza akiwa amefutuka. Hivi karibuni, Ray C ameibuka na kuanza kutundika picha na vipande vya video zake katika kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii, ikiwa ni sehemu ya kujiweka karibu na mashabiki...
 Rapper Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku. “Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay . Awali, Nay wa Mitego ameweka picha...
Katika fundrising iliyofanyika goldcrest leo hii siku ya ijumaa tarehe 12/07/2013 ilikua ya mafanikio makubwa ambapo mawaziri kama mh wasira ,wiliam ngeleja ,anthon dialo na watu wengine kibao walikuepo na kufanikisha kupatikana kwa kiasi cha shiling mil 400  hafla hiyo ilihostiwa na mh benjamin william mkapa    sadru shaking hand with hon benjamin william mkapa   ebwana...

waliotembelea blog