Saturday, July 13, 2013

Katika fundrising iliyofanyika goldcrest leo hii siku ya ijumaa tarehe 12/07/2013 ilikua ya mafanikio makubwa ambapo mawaziri kama mh wasira ,wiliam ngeleja ,anthon dialo na watu wengine kibao walikuepo na kufanikisha kupatikana kwa kiasi cha shiling mil 400 
hafla hiyo ilihostiwa na mh benjamin william mkapa
 
 sadru shaking hand with hon benjamin william mkapa

  ebwana ilikua ni bonge la paty ladoes walitokelezea kinomaaaaa

































                                                                                
                                                                                                













































 mdede akishake hand na mkapa




atukuzwe akimwaga sera



























































chezeaaaa atukuzwe weweeeee






ebwana  eee mambo kibao yalikuepo ila kwa hapa nadhani nimekufurahisha kiasi ila video zitakuiji hivi punde stay tuned na bugando blog
ila usiache kulike page yetu


   vitu vichache ambavyo unaweza kua hukuviskia au kuviona katika fund rising.
Dr kabangila alitoa michango miwili tofauti tofauti kwa niaba ya viongozi wa chama cha chadema.

haya ni majina ya watu na michango yao waliyotoa
STEVEN WASIRA.................5MIL
MAWE MATATU...................3MIL
MKUU WA MKOA MWANZA...........2MIL
WILLIAM NGELEJA...............10MIL
STEVEN KEBWE..................3MIL
BALUGU........................3MIL
WENJE.........................LAKI5(KABANGIRA ONBEHALF)
JAJI........................3MIL
CRDB MANAGER BUGANDO BRANCH.....3MIL
NHIF.........................3MIL
SUMA JKT..........1MIL
GOLD CREST...........MIL 2 NA LAK TATU +UKUMBI BUREEE
CF BULDING................2MIL
MKOMBOZI BANK................LAKI 5
TTCL ...................2MIL
POSTA.....................LAKI 5
KASHEKULO.................LAKI 5
BISHOPS ...................MIL 45
DIALLO....................2MIL
CCM MKOA...................1MIL
LPF.........................1.5MIL
MSTAHIKI MEYA MWANZA.........2MIL
KITIME..........................10MIL
CHENGE.......................2MIL
MADARAKA NYERERE...................3COWS
DC UKEREWE........................1MIL
SADRU MOHAMED (STUDENT)..............ELFU ISHIRINI
MSANA......................700000
STUDENTS....................50000
SERIKALI YA WANAFUNZI CHINI YA MDEDE..................300000























































































































































































































































0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog