Wachezaji wa Japan wakishangiliaUshindi!Japan
defeated England 2-1 in the Women's World Cup semi-finals, espnW's
Julie Foudy looks ahead to what the U.S. has to do to beat Japan in the
finals.WAKIPOZANA BAADA YA KICHAPO
...
Thursday, July 2, 2015


Bayern Munich wamemsaini Kiungo kutoka Brazil Douglas Costa aliekuwa Shakhtar Donetsk ya Ukraine. Costa, mwenye Miaka 24, amelipiwa Ada ya Uhamisho ya Pauni Milioni 21 na kusaini Mkataba wa Miaka Mitano. Kusainiwa
kwa Costa huenda kukafungua njia kwa Kiungo Mkongwe Bastian
Schwensteiger, mwenye Miaka 30, kuhamia Manchester United kwa vile sasa
Kocha Pep Guardiola, ambae Msimu uliopita aliiongoza...
Subscribe to:
Posts (Atom)