Tuesday, March 4, 2014

  Kuelekea uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani lililoachwa wazi baada ya mbunge wake SAID BWANAMDOGO kufariki hivi karibuni Chama cha Mapinduzi kimefanya kura ya maoni ili kumpata mrithi wa Jimbo hilo atakayechuana na wagombea kutoka vyama vingine. Katika kura hiyo ya maoni wagombea watatu wamejitokeza kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama...
Katika maisha yangu sijawahi kuona watu wenye imani kali kama wahubiri dini. Mapadri, masheikh, wachungaji hawa watu wana imani kali sana na dini zao. Imani zao zimejengwa kwa kusikia mafundisho ya vitabu vitakatifu. Hata biblia imenena kuwa "imani huja kwa kusikia, tena kwa kusikia neno la Mungu." Ili...

waliotembelea blog