
Kocha mpya wa Uholanzi Guus Hiddink amemteua Pierre van
Hooijdonk kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya nchi hiyo.
Pia Hiddink
amemwambia nahodha wa timu hiyo Robin van Persie kupatana na Pierre van
Hooijdonk ambaye waligombana wakati wa fainali za kombe la dunia, wakati Pierre
van Hooijdonk aliposema Van Persie hafai kucheza kwenye mchezo wa mshindi wa 3
kutokana na kutokuwa na kiwango...