Tuesday, January 14, 2014

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeteua maofisa wanaoanza leo kukagua viwanja 19 vitakavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL). Ukaguzi huo pia unahusisha viwanja ambavyo Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) ilizuia mechi za VPL na FDL kuchezwa mpaka hapo vitakapokuwa vimefanyiwa marekebisho ili kukidhi sifa za kutumiwa kwa mechi...
KUNDI C la Orange CHAN 2014, Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ndani ya Nchi zao, zimecheza Mechi zake kwa Ghana kuifunga Congo 1-0 na Libya kuibamiza Ethiopia Bao 2-0. Shujaa wa Ghana ni Theophilus Anobaah aliefunga Bao katika Dakika ya 35.Katika Mechi iliyofuata ya Kundi C, Libya iliichapa Ethiopia Bao 2-0 kwa Bao z a Elmutasem Abushnaf kwenye Dakika ya 4 na...
Cristiano Ronaldo, na mkewe  Irina Shayk. Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013 na kuwashinda Lionel Messi wa Barcelona na Frank Ribery wa Bayern Munich. Ronaldo ambaye alinyakuwa tuzo hiyo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara kwanza mwaka 2008 alitangazwa kunyakua tuzo mwaka...
Kiasi ya watu 200 kutoka Sudan Kusini wamefariki leo Jumanne katika ajali ya feri katika Mto Nile wakati wakikimbia mapigano katika mji wa Malakal. Wananchi wa Sudan kusini wakikimbia mapigano Taarifa zinazopatikana kutoka Sudan Kusini zinasema watu kati ya 200 na 300, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto wamekufa maji katika ajali hiyo ya feri. Chombo hicho kilikuwa na watu wengi...
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier amesema ujenzi wa makaazi ya walowezi unaoendelezwa na Israel unahujumu mazungumzo ya kutafuta amani Mashariki ya kati. Waziri huyo wa mambo ya nje wa Ujerumani alikuwa Israel jana kwa ziara ya siku moja ili kuzungumzia mchakato wa kupatikana suluhu ya amani kwa mzozo wa muda mrefu wa mashariki ya kati siku ambayo ilitawaliwa...
Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya FIFA ya mchezaji bora wa mwaka Ballon d'Or. Ujerumani ilinyakua tuzo tatu, wakati Jupp Heynckes na Silvia Neid wakishinda tuzo ya makocha bora Nadine Angerer akiibuka mchezaji bora mwanamke. Katika sherehe za kila mwaka za Ballon d'Or mjini Zurich, Shirikisho la Soka Ulimwenguni - FIFA lilimtaja Cristiano Ronaldo kama mchezaji bora ulimwenguni katika...
Wamisri wameanza kuteremka vituoni kutoa maoni yao kuhusu katiba mpya, hatua inayoangaliwa kama kipimo cha umashuhuri wa jeshi lililomng'owa madarakani Mohammed Mursi, huku tayari kukiwa na taarifa za mashambulizi. Wamisri wanapiga foleni wakisubiri kupiga kura Jenerali Abdel Fatah al-Sisi, makamo waziri mkuu, waziri wa ulinzi na mtu pekee mwenye usemi katika nchi hiyo yenye...
.Katika taarifa iliyotumwa katika mtandao wa klabu hiyo ilithibitisha kumtimua kocha huyo na kushukuru kwa mchango wake pamoja na jopo la wasaidizi wake kwa kazi walioifanya katika kipindi chote na kuwatakia kila la heri. Kwasasa timu hiyo itakuwa chini ya kocha wa muda Mauro Tassotti wakati ukifanyika mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayeziba nafasi ya Allegri. Barbara ambaye...

waliotembelea blog