
Leo
Samwel Eto'o ameibuka Shujaa wa Stamford Bridge alipofunga Bao la
ushindi wakati Chelsea ilipotoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuitwanga
Liverpool Bao 2-1 wakati huko White Hart Lane Tottenham waliicharaza
Stoke City Bao 3-0.
Kipindi
cha Pili, Mamadou Sakho alipiga posti kwa kichwa na Liverpool watarudi
kwao wakijuta ‘kunyimwa’ Penati mbili kufuatia kuvaana na John Terry na
Eto'o.SPetr...