Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akilakiwa na Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali
Davies Mwamunyange alipowasili kushuhudia kufungwa kwa mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka majini (Amphibous
Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika
kijiji cha Baatini, Wilayani...