Saturday, October 1, 2016


Timu za Simba na Yanga mara nyingi zinapokutana huwa kuna mambo mengi ya kuchekesha huwa yanajitokeza, hususani utani wa mashabiki wa pande zote mbili kutoleana maneno ya utani kabla na baada ya mechi, hususani timu moja wapo inapomfung mwenzake.
October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mchezo wa watani wa jadi uliochezwa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, Freeman Mbowe  ambaye ni mbunge na kiongozi wa chama cha siasa cha CHADEMA alikuwa ni moja kati ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza na kushangilia kwa furaha goli la Amissi Tambwe lililofungwa mkono ukiwa umehusika kucheza mpira.
25 MAY 2010, BERLIN/GERMANY: Prof. Dr. Prof. Dr. Robert Kappel, Praeesident Leibnitz-Institut fuer Globale und Regionale Studien, GIGA, Zitto Kabwe, Abgeordneter des Parlaments Tansania, Prof. Dr. Helmut Reisen, Forschungsdirektor Entwicklungszentrum OECD, Tobias Kahler, Direktor ONE Deutschland, (Podium v.L.n.R.), ONE Deutschland Pressekonferenz "Der DATA Bericht 2010 - Halten die G8 ihr Versprechen an Afrika?", dbb Forum IMAGE: 20100525-01
Zitto Kabwe
Baada ya mechi mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye ni shabiki wa Simba alitumia account yake rasmi ya twitter na kuandika ujumbe wa utani kwa Freeman Mbowe ambaye alishangilia goli la utata la Tambwe “Mwenyekitiwangu Freeman Aikaeli Mbowe anatambua goli la mkono la Tambwe lakini hamtambui Lipumba “
sad
ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog