Mimi sipo!: Tim Sherwood jana ametangaza kuwa hatakuwa kocha Crystal Palace .
TIM Sherwood amejitoa mwenyewe katika mbio za kuwa kocha mpya wa Crystal Palace.
Kocha huyo wa zamani wa Tottenham
Hotspur alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kuteuliwa kuwa kocha mkuu wa
Selhurst Park baada ya Malky Mackay kuondolewa katika kinyang'anyiro.
Lakini Sherwood hajavutiwa kurithi
mikoba ya...
Thursday, August 21, 2014


Na Adam Mbwana, Dar es salaam
Ilikuwa
ni vita kali kati ya mafahali wawili ambao naweza kusema kila mmoja wao alikuwa
na azimio tofauti kichwani mwake juu ya mwenzie. Vita hii huwezi kuifananisha
na na zile za mwaka 1914 na 1939 ambazo ndio vita kubwa kuwahi kutokea duniani
pale ambapo mataifa makubwa yalikuwa yalikuwa yakiwania utajiri kwa kutumia
silaha kali na hatari duniani, lakini...



Mshiriki Nambari 1 (Subira Ally).
Mshiriki Nambari 2 (Hellen Eugen).
Mshiriki Nambari 3 (Rehema Jabiry).
Mshiriki Nambari 4 (Catheline Alex).
Mshiriki Nambari 5 (Dalena David).
Mshiriki Nambari 6 (Winfrida Guntram).
Mshiriki Nambari 7 (Salama Salehe).
Mshiriki Nambari 8 (Magdalena Majawa).
Mshiriki Nambari 9 (Grace John).
Mshiriki...


Wachezaji
wa Coastal Union wakiwa uwanja wa ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea
Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya Mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya
msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania bara, safari hiyo imedhaminiwa na
wafadhili wa timu hiyokiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe..
...


Kocha mkuu wa Simba sc Patrick Phiri akiongea na wachezaji wake
Kocha mkuu wa Yanga akiongea na msaidizi wake
Baraka Mpenja, Dar es salaam
RATIBA ya
ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 utakaoanza kutimua vumbi
septemba 20 mwaka huu umeanikwa hadharani na Shirikisho la soka nchini
Tanzania TFF.
Afisa
habari na mawasiliano wa TFF, Boniface Wambura...


Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Nassibu Ramadhani pamoja
na Mohamed Matumla wameingia makubaliano ya kuzipiga kwa mara ya pili
siku ya septemba 27 katika ukumbi wa
Friends Corner Hotel Manzese Dar es salaam
Akizungumzia mpambano huo mratibu wake Yassin Abdallah
‘Ostaadhi’ amesema mabondia...


Majanga: Kiungo wa Arsenal, Mikel Arteta atakaa nje ya uwanja kwa mechi mbili zijazo.
HABARI mbaya kwa
mashabiki wa Asernal, Mikel Arteta atakaa nje ya uwanja katika mechi
mbili zijazo baada ya kupata majeruhi ya kifundo cha mguu wakati wa
mechi ya mtoano ligi ya mabingwa barani Ulaya jumanne ya wiki hii dhidi
ya Besikta...


Anawindwa: Roma wanaitaka saini ya Fernando Torres
ROMA wameulizia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Cheslea, Fernando Torres.
Timu hiyo ya Italia, inaitaka saini ya
mshambuliaji huyo wa Hispania, na watawashawishi The Blues kumchukua
Mattia Destro kama sehemu ya dili hilo.
Torres amekuwa na wakati mgumu tangu
ajiunge Stamford Bridge kutokea Liverpool kwa ada kubwa...


Anaenda kuwa hivi: Mario Balotelli ametengenezwa akiwa amevalia jezi ya Liverpool.
LIVERPOOL wamekubali kuilipa AC Milani
ada ya uhamisho ya paundi milioni 16 ili kuinasa saini ya mshambiliaji
wa Italia, Mario Balotelli.
Mwezi uliopita, Brendan Rodgers alisema Liverpool haiwezi kumsajili Balotelli, lakini amebadili moyo wake.
Mapema leo Balotelli aliwaambia Sky Italia: "Leo...
Subscribe to:
Posts (Atom)