Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Nassibu Ramadhani pamoja
na Mohamed Matumla wameingia makubaliano ya kuzipiga kwa mara ya pili
siku ya septemba 27 katika ukumbi wa
Friends Corner Hotel Manzese Dar es salaam
Akizungumzia mpambano huo mratibu wake Yassin Abdallah
‘Ostaadhi’ amesema mabondia hao wamekubaliana na kusaini mkataba wa
kuzipiga siku hiyo
mabondia hao walikutana kwa mara ya kwanza na bondia Mohamed Matumla alimshinda kwa pointi Nassibu Ramadhani hivyo kuufanya mchezo huu kuwa mgumu zaidi kwa Matumla ili kuendeleza kipigo au Ramadhani kulipiza kisasi hiyo Septemba 27 Mapambano ya utangulizi yatakuwa hivi bondia Issa Omari atamkabili juma fundi.Kg 53 raundi nane. na Sadiq Momba vs Tasha Mjuaji Kg 59 raundi nane. wakati Juma Mustafa atamkabili Bakari Dunda Kg 61 raundi sita. huku kina dada Lulu Kayage akipambana na Fatma Yazidu.Kg 51 raundi nne. siku hiyo pia kutakuwa na uuzwaji wa DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.
Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama Manny Paquaio,Floyd
Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na wengine wengi
wanaotamba na waliotamba katika mchezo wa masumbwi Duniani
mabondia hao walikutana kwa mara ya kwanza na bondia Mohamed Matumla alimshinda kwa pointi Nassibu Ramadhani hivyo kuufanya mchezo huu kuwa mgumu zaidi kwa Matumla ili kuendeleza kipigo au Ramadhani kulipiza kisasi hiyo Septemba 27 Mapambano ya utangulizi yatakuwa hivi bondia Issa Omari atamkabili juma fundi.Kg 53 raundi nane. na Sadiq Momba vs Tasha Mjuaji Kg 59 raundi nane. wakati Juma Mustafa atamkabili Bakari Dunda Kg 61 raundi sita. huku kina dada Lulu Kayage akipambana na Fatma Yazidu.Kg 51 raundi nne. siku hiyo pia kutakuwa na uuzwaji wa DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.
0 maoni:
Post a Comment