Thursday, October 9, 2014

Mshambuliaji wa kimataifa wa Arsenal, Mezut Ozil, ameondoka leo kutoka katika kambi aliyokuwa na timu yake ya taifa ya Ujerumani huko mjini Frankfurt na kuelekea mjini Munich kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa maumivu ya goti yanamsumbua kwa sasa ambayo ameyapata wakati akifanya mazoezi na timu yake hiyo ya taifa ikiwa ni maandali ya kuelekea katika mashinda ya kuwania kufuzu kushiriki...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Rino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo,juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11,2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano...

waliotembelea blog