Wednesday, September 23, 2015

 Mkazi wa Wazo Hill, Tegeta Mary Joseph (Katikati) akipokea zawadi ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo, Mbezi na Tegeta Bw. Victor Mhindi (Kulia) wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani iliyofanyika katika baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam. (Kushoto) ni mshereheshaji wa promosheni hiyo na...
UBA Tanzania staff during the jogging to bond event which took place on Saturday September 19, 2015. UBA Tanzania staffs participate engaged in aerobics session during the jogging to bond event which took place on Saturday September 19, 2015 UBA Tanzania staffs participate in the aerobics session during the jogging to bond event which took place on Saturday September 19, 2015....
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower( kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendelea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar. Usikose leo siku ya Jumatano kwenye mkesha wa EID maana kuna vitu vingi vipya. Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Natasha pamoja na mwenzake Kasongo Junior haya ni Majembe mapya...
CAPITAL ONE CUP Raundi ya 3 RATIBA Jumatano Septemba 23 21:45 Crystal Palace vs Charlton 21:45 MK Dons vs Southampton 21:45 Newcastle vs Sheffield Weds 21:45 Norwich vs West Brom 21:45 Tottenham vs Arsenal 21:45 Walsall vs Chelsea 22:00 Liverpool vs Carlisle 22:00 Man United vs Ipswich To...
Simba imekuwa ikiendelea na mazoezi yake katika kambi maalumu mjini Zanzibar. Simba inajiwinda tayari kwa mechi yake dhidi ya watani wake wa jadi Yanga, Jumamosi. Yanga inakutana na Simba katika mechi hiyo ya kwanza ya msimu kwa timu hizo kukutana.   Chini ya Kocha Mkuu, Dylan Kerr, Simba imekuwa ikifanya mazoezi mara mbili kwa siku. Mazoezi yake...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi tarehe 24 Oktoba, mwaka huu nchini Malawi. Mechi hiyo kati ya Twiga Stars dhidi ya Malawi itachezwa jijini Lilongwe kufuatia mwaliko wa chama cha soka nchini Malawi (FAM) kuialika Twiga Stars kwenda nchini Malawi kwa ajili ya mchezo huo Mchezo huo wa kirafiki...
Viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ni shilingi elfu saba (7,000). Katika mchezo huo kiingilio cha juu kitakua ni shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa viti vya VIP A, Elfu Ishirini (20,000) kwa viti vya VIP B & C, huku kiingilio cha...
Good news kwa watu wa nguvu ambao +254 Kenya  inayatambua majina yao ambayo yako kwa wino mzito kabisa kwenye Industry ya Entertainment Kenya, wa kwanza ni  Annabel Onyango ambae ni Mwanamitindo staa kabisa kutoka Kenya… mwingine ni Marek Fuchs ambae ni Manager wa Group la Mastaa wakali kabisa, Sauti Sol. Majina ya wawili...

waliotembelea blog