Tuesday, December 8, 2015

Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ni tuzo ambayo Ligi nyingi duniani huwa wanayo hata katika Ligi Kuu soka Tanzania bara huwa ipo, December 8 ndio siku ambayo Ligi Kuu Hispania ilitangaza tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, Neymar anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona ndio mchezaji aliyefanikiwa...
Raheem Sterling alifunga bao mbili na kutengeneza mabao mengine Manchester City walipoichabanga bao 4 kwa 2 Borussia Monchengladbach_ 4-2 na kukaa kileleni kwenye Group D.Raheem Sterling akishangilia moja ya bao lakeKolarov kwenye patashika baada ya kutupwa nje ya Uwanja na kuangukia kwa waandishi wa HabariHatari tupu!!!Chupuchupu!! Borussia Monchengladbach nao wakishangilia bao lao...
Manchester United imefungwa 3-2 na Wolfsburg Bao 3-2 kwenye Mechi ya Kundi B la UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL na kutupwa nje na sasa kucheza Raundi ya Mtoano ya EUROPA LIGI.3-2Kipigo hicho, na ushindi wa PSV Eindhoven wa Bao 2-1 dhidi ya CSKA Moscow, kumezifanya Wolfsburg na PSV kufuzu kwenda Raundi ya Mtoano ya UCL na Man united kumaliza Nafasi ya 3. Hii ni mara ya kwanza kabisa kwa Wolfsburg...
DROO ya Raundi ya 3 ya Kombe kongwe Duniani, FA CUP, ambalo sasa linaitwa Emirates FA Cup kwa sababu za kiudhamini, imefanyika Usiku huu ikihusisha Timu zote za Ligi Kuu England na Daraja la Championship ambazo huanzia hapa. Droo hii, ambayo imeibua Mechi 5 za Timu za Ligi Kuu England kuvaana wenyewe kwa wenyewe, imefanyika huko Sport Wales National Centre Mjini Cardiff, na kuhusisha Timu...
MENEJA wa Manchester United Louis van Gaal Leo amesafiri kwenda Germany na Wachezaji 19 kwa ajili ya Mechi yao ya mwisho ya Kundi B la UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, ambayo itaamua kama watasonga Raundi ya Mtoano au watatupwa EUROPA LIGI. Man United hawawezi kutupwa nje kabisa ya Ulaya kwani matokeo ya aina yeyote ama yatwabakisha UCL au kupelekwa EUROPA LIGI wakimaliza katika Nafasi ya...
Mechi pekee ya Ligi Kuu England huko Goodison Park, Merseyside, Jijini Liverpool, Wenyeji Everton walijinasua toka kwenye kipigo na kutoka Sare ya 1-1 na Crystal Palace. Bao za Mechi hii zilifungwa na Scott Dann Dakika ya 76 kwa Palace na Romelu Lukaku kurudisha Dakika ya 81.Kabla ya Lukaku, mwenye Miaka 22, kusawazisha, Everton walipiga Posti mara 3 na hatimaye Lukaku kufunga likiwa ni...

waliotembelea blog