WENYEJI
Everton wamepata Sare ya 1-1 walipocheza na Manchester United huko
Goodison Park kwenye Mechi ya EPL, Ligi Kuu England, kwa msaaada wa
Penati ya Dakika ya 89 iliyotolewa na Refa Michael Oliver. Man
United walitangulia kufunga katika Dakika ya 42 kwa Bao safi la Zlatan
Ibrahimovic alipomvisha kanzu Kipa Stekelnburg alietoka...