Sunday, January 5, 2014

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa,  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa,...
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Mengele ‘Nyerere’ akizungumza mara baada ya kuchagulia kushika wadhifa huo wa uenyekiti,Steve alisema kuwa atahakikisha haki inatendeka kwa kila msanii wa filamu,kuhakikisha kipato kinaongezeka katika tasnia yao,kama vile haitoshi alieleza kuwa atakutana wasambazaji wote wa filamu kuzungumza mikakati mbalimali ya kuhakikisha tasnia hiyo wasanii wake wananufaika...
Manchester United wakicheza Mechi hii kwao Old Trafford kuwakaribisha Swansea City kwenye FA CUP, United ndio walianza kufungwa mapema dakika ya 12 kupitia mchezaji Wayne Routledge baada ya kuwachomoka mabeki na kupaisha mpira hadi langoni mwa United, Dakika 6 baadae United wakasawazisha bao hilo kupitia mchezaji wao Javier Hernández baada ya mpira kupigwa kama kona na na hatimae Chicharito...
Bao za Arsenal leo zimefungwa na Cazorla kipindi cha kwanza dakika ya 31, huku bao la pili likifungwa na Rosicky dakika ya 62. Spurs Wanaondoshwa kwenye michuano hii baada ya kipigo hicho kutoka kwa Gunners inayonolewa na Mzee Arsene Wenger huku Spurs ikishikiliwa na kocha wa Muda kwa msimu huu Sherwood. Cazorla akimfunga kipa wa Spurs Hugo Lloris na kufanya 1-0 Tomas Rosicky...

waliotembelea blog