Bao za Arsenal leo zimefungwa na Cazorla
kipindi cha kwanza dakika ya 31, huku bao la pili likifungwa na Rosicky
dakika ya 62. Spurs Wanaondoshwa kwenye michuano hii baada ya kipigo
hicho kutoka kwa Gunners inayonolewa na Mzee Arsene Wenger huku Spurs
ikishikiliwa na kocha wa Muda kwa msimu huu Sherwood.
Cazorla akimfunga kipa wa Spurs Hugo Lloris na kufanya 1-0
Tomas Rosicky akitupia na yeye bao la pili na kufanya 2-0 leo kwenye mchuano wa kombe la FA Cup Hatua ya tatu.
Rosicky akishangilia bao lake leo kwenye FA Cup na kwa kuisogeza Gunners hatua ya nne ya michuano hiyo.
Mashabiki wa Arsenalwakishangilia timu yao leo usiku baada ya kuifunga Spurs bao 2-0 na kusonga mbele
Meneja wa Tottenham Hotspur Tim Sherwood akipaza sauti kuwapa maelekezo wachezaji wake leo kwenye uwanja wa Emirates.
Ushindi huu wa leo wa bao 2-0 pia umemwachia maumivu Theo Walcott hapa
ni katika dakika za mwishoni akiondolewa nje ya uwanja baada ya kuumia.
VIKOSI:
ARSENAL: Fabianski
7, Sagna 6, Monreal 6, Arteta 6 (Ozil 75, 6), Koscielny 6, Vermaelen 6
(Mertesacker 45, 6), Gnabry 7, Wilshere 6 (Flamini 71, 6), Walcott 6,
Rosicky 7, Cazorla 7Subs not used: Podolski, Viviano, Jenkinson, Park
Goals: Cazorla 31, Rosicky 62
Booked: Vermaelen
Manager: Arsene Wenger 7
TOTTENHAM: Lloris 6, Walker 5, Rose 4, Bentaleb 7, Dawson 5, Chiriches 5, Lennon 6, Dembele 6, Soldado 5 (Chadli 63, 6), Adebayor 5, Eriksen 5
Subs not used: Capoue, Friedel, Fryers, Kane, Fredericks, Obika
Manager: Tim Sherwood 6
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 59,476
0 maoni:
Post a Comment