Tumelianzisha tena! Raheem Sterling anajua wazi kuwa anatakiwa kujithibitsha mwenyewe kuwa ni bora.
LICHA
ya kuwa miongoni mwa wachezaji wachache wa England waliorudi na heshima
kutoka kombe la dunia, Raheem Sterling amesisitiza kuwa anahitaji
kuonesha kiwango kikubwa katika klabu yake ya Liverpool msimu ujao.
Nyota
huyo kinda mwenye miaka 19 alikuwa miongoni mwa...
Friday, July 25, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)