Thursday, November 13, 2014

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili...
ARSENE WENGER APAGAWA!! MESUT OZIL NJE KWA WIKI 7! Arsenal wamepata pigo baada kuibuka habari kuwa Kiungo wao kutoka Germany Mesut Ozil anahitaji Wiki 7 zaidi ili apone vizuri Goti lake.Ozil aliumia mwanzoni mwa Oktoba wakati Arsenal inafungwa 2-0 na Chelsea na ilitegemewa atarejea Uwanjani mwishoni mwa Mwezi huu lakini hii Leo mwenyewe amethibitisha kuwa hataweza kucheza hadi Mwakani.Hii...

waliotembelea blog