Stoke City XI: Butland, Cameron, Shawcross, Muniesa, Pieters, N'Zonzi, Whelan, Walters, Adam, Arnautovic, Diouf. Akiba: Sorensen, Bardsley, Ireland, Odemwingie, Sidwell, Crouch, Wollscheid. Tottenham XI: Lloris; Dier, Chiricheș, Fazio, Vertonghen; Bentaleb, Mason; Lamela, Eriksen, Chadli; Kane. Akiba: Vorm, Rose, Yedlin, Dembele, Stambouli, Townsend, Soldad...
Saturday, May 9, 2015


Jermain
Defoe dakika ya 85 kipindi cha pili aliwafungia bao Sunderland na
kufanya 2-0 dhidi ya Everton. Ushindi huu umeipandisha Sunderland nafasi
ya 14 wakiwa na pointi 36 huku Everton wakiwa nafasi ya 11 na pointi
zao 44. Ukumbuke mpenzi wa bukobasports Sunderland wanamchezo wao
mkononi hivyo mchezo wao wa leo ni 35, Everton wao wamecheza mchezo wao
wa 36.Danny Graham wa Sunderland ...



Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Bw. Gabriel masanja (wapili kulia) akipeana mkono na Bw. Rajpaul Singh Dhani (kulia)
dereva wa gari ya mashindano iliyoiwakilisha benki hiyo katika mchezo
wa mashindano ya magari uliyofanyika mkoani Tanga hivi katibuni. Wengine
katika picha ni wafanyakazi wa benki hiyo tawi la Tanga.
Meneja wa Benki ya Exim...



Tayari
Ligi Kuu Vodacom inae Bingwa, Yanga, Mshindi wa Pili, Azam FC, na
Mshindi wa Tatu, Simba, lakini kazi kubwa ipo leo hii Jumamosi kwenye
Mechi za mwisho kabisa za Msimu kuamua Timu ipi moja itaungana na Polisi
Moro kuteremka Daraja. Yanga walishatwaa Ubingwa tangu Wiki
iliyopita na Msimu ujao watawakilisha kwenye CAF CHAMPIONS LIGI na Azam
FC, ambao wamepoteza Taji lao, wameshika...


Manchester United wakipanda train kuelekea Ugenini tayari kucheza mchezo wao ugenini na Crystal PalaceJonny
Evans, Marouane Fellaini, Phil Jones, Luke Shaw, Radamel Falcao na
Andreas Pereira walipofana mazoezi kujiandaa na Mchezo wao wa leo dhidi
ya Crystal Palace.Jones nae alipasha hiyo jana ijumaa kwenye Uwanja wa Mazoezi wa Aon complexRadamel Falcao na Robin van Persie Marcos Rojo...


LIGI
KUU ENGLAND Wikiendi hii inaanza safari yake ya kumalizia Raundi zake 3
za mwisho wakati Bingwa, Chelsea, anatarajiwa kukabidhiwa Kombe lao
Jumapili Uwanjani kwao Stamford Bridge wakicheza na Liverpool ambayo
bado ina matumaini ya kufuzu 4 Bora. Jumamosi zipo Mechi 7 ambazo
nyingine ni muhimu kwa Timu zinazotaka kujinusuru kutoshushwa Daraja na
hizo, kimahesabu, ni Timu 9 ambazo...
Subscribe to:
Posts (Atom)