Wednesday, June 17, 2015

Ripoti toka England zimedai Manchester United wameshaanza mazungumzo na AS Monaco ili wamsaini Beki wa Brazil Fabinho. Huku Fulbeki huyo akitaka kuhama, Monaco imeripotiwa kulikataa Dau la Pauni Milioni 10 la Man United na kutaka walipwe mara mbili.Wakati huo huo, inasemekana Man United imemchukuwa Wakala kabambe, Jorge Mendes, ambae ndie huwasimamia Masupastaa kama Cristiano Ronaldo, Jose...
BAO za England zimefungwa na Karen Carney kipindi cha kwanza dakika ya 15 na lile la mkwaju wa penati dakika ya 38 la Fara Williams na kwenda mapumziko England wkiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Wakolombia.  Bao la Colombia lilifungwa na Lady Andrade (Colombia) dakika majeruhi dakika ya 90 na mtanange kumalizika kwa 2-1 England wakiibuka kidedea.Karen Carney akipongezwa baada ya kuifungia...
TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ leo asubuhi ilionja adha ya kuzomewa na mashabiki kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam ilipokwenda kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa ma mchezo wa kufuzu fainali za kombe la mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) dhidi ya Uganda. Taifa stars iliwasili uwanjani hapo saa 3:30 asubuhi na kukuta mashabiki wakiangalia mazoezi ya Yanga ambayo inajiandaa...
AFC Bournemouth vs. Aston Villa, Aug. 8Manchester City vs Chelsea, August 15 Manchester United vs. Liverpool, September. 12 Chelsea vs. Arsenal, September 19Newcastle United vs Chelsea, September 26Everton vs  Liverpool, October 3 Manchester United vs. Manchester City, Oct. 24 Sunderland vs  Newcastle United, Octoter 24 Arsenal vs  Tottenham, November 11 Chelsea vs  Manchester...
Timu ya Golden State Warriors ndio washindi wa ligi ya mpira wa vikapu nchini Marekani katika kipindi cha miaka 40,baada ya kuishinda Cleveland Cavaliers 105-97 na kuibuka kidedea kwa kushinda misururu 4-2.Stephen Curry na Andre Iguodala,akiwa mchezaji bora katika michuano hiyo alipata pointi 25 kila mmoja.Nyota wa Cavaliers Lebron James aliiongoza timu yake iliojaa majeruhi baada ya kujipatia...
MAN CITY YAZIDI KUMTEGA RAHEEM STERLING, YAMTENGEA DAU NONO £40m MEZANI, LIVERPOOL KIMYA! Klabu ya Manchester City imeimarisha ombi la kumsajili mashambulizi machachari wa Liverpool Raheem Sterling.Mabingwa hao wa mwaka wa 2014 wametoa pauni milioni 35 sawa na dola milioni 55 kusajili huduma za mshambulizi huyo.The Reds walikataa ombi la kwanza la kumsajili kiungo huyo mwenye umri wa miaka...
AFC Bournemouth vs. Aston Villa, Aug. 8Manchester City vs. Chelsea, Aug. 15 Manchester United vs. Liverpool, Sep. 12 Chelsea vs. Arsenal, Sep. 19Newcastle United vs Chelsea, Sep. 26Everton vs. Liverpool, Oct. 3 Manchester United vs. Manchester City, Oct. 24 Sunderland vs. Newcastle United, Oct. 24 Arsenal vs. Tottenham, Nov. 11 Chelsea vs. Manchester City, April ...
  ……………………………….. MABINGWA wa soka wa Tanzania Bara, Yanga, Juni 27, mwaka huu wanatarajia kuvaana na SC Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ukiwa na lengo la kukusanya fedha za kujengea kituo cha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na walemavu wa ngozi, yaani albino. Akizungumza Dar es Salaam jana katika ukumbi wa makao makuu ya...
   MECHI ZA UFUNGUZI HIZI HAPABournemouth vs Aston VillaArsenal vs West Ham UnitedChelsea vs Swansea CityEverton vs WatfordLeicester City vs SunderlandManchester United vs Tottenham HotspurNewcastle United vs SouthamptonNorwich City vs Crystal PalaceStoke City vs LiverpoolWest Bromwich Albion vs Manchester City RATIBA NZIMA MSIMU 2015/2016 HII HAPA FULL PREMIER LEAGUE FIXTURES...

waliotembelea blog