NA MWANDISHI WETU,TANGA.
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Coastal Union ambacho kimeketi
katikati ya wiki hii chini ya Makamu Mwenyekiti wa Coastal Union,
Steven Mguto kimeazimia kuwaacha baadhi ya wachezaji ambao muda wao
ulikuwa umemalizika huku wengine wakiongezewa mikataba ya kuendelea
kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao.
Kimsingi wachezaji hao wameachwa na sasa wapo huru kutumikia...
Saturday, May 30, 2015


Nahodha wa zamani wa England, Rio Ferdinand, ameamua kustaafu Soka. Ferdinand,
mwenye Miaka 36, alimpoteza Mkewe Rebecca aliezaa nae Watoto Watatu
hapo Mei Mosi Mwaka huu baada kuugua kansa na kufariki. Katika maisha yake ya Soka aliichezea Timu ya Taifa ya England mara 81 na pia kuwa Nahodha wake.Kwenye
Klabu, Ferdinand alizichezea West Ham, Leeds United, Man United na
kumalizia Msimu...
Subscribe to:
Posts (Atom)