
Baada ya kufariki uwanjani kwa mshambuliaji wa timu ya Mbao FC Ismail
Khalfan siku ya Jumapili ya December 4, leo December 6 2016 imetoka
ripoti ya kilichosababisha kifo cha mchezaji huyo wakati wa mchezo kati
ya Mbao FC dhidi ya Mwadui FC.
Ripoti iliyotolewa na hospitali ya mkoa wa Kagera kuhusiana na kifo cha
mchezaji huyo, kupitia kwa jeshi la Polisi, Ismail alifariki uwanjani...