Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Bloggers
Tanzania kabla ya kufunga mafunzo kwa mablooger hao yaliyofanyika Jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam
Mayingu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa wa mafunzo kwa mablooger
Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Muda wa Tanzania
Bloggers network Bw. Joachim Mushi akizungumza na wamiliki wa Bloggers
Tanzania kabla ya kumkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye kufunga mafunzo kwa Bloggers Tanzania
yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa
mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF
katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika
Jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Post a Comment