Sunday, October 6, 2013

Mama wa staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila kwa mara ya kwanza amemfungukia marehemu Steven Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012. Mahojiano hayo yamefanywa hivi karibuni na gazeti la Risasi linalotolewa na kampuni ya GPL Ifuatayo ni habari hii kama ilivyoripotiwa na mwandishi wa gazeti hilo. Katika mahojiano...
Jumamosi 5 Oktoba 14:45 Manchester City 3 v Everton 1 17:00 Cardiff City 1  v 2 Newcastle United 17:00 Fulham 1 v 0 Stoke City 17:00 Hull City 0 v 0 Aston Villa 17:00 Liverpool 3 v 1 Crystal Palace 19:30 Sunderland 1 v 2 Manchester United Jumapili 6 Oktoba 15:30 Norwich City v Chelsea 15:30 Southampton v Swansea City 18:00 West Bromwich Albion v Arsenal 18:00 Tottenham Hotspur...
Watu zaidi ya 60 waliokuwa wakisafiri wamenusurika kifo huku wengine wakijeruhiwa baada ya basi la Mtei Express Coach kuyagonga magari matatu katika eneo la kijiji cha Mawemairo Wilayani Babati Mkoani Manyara kilichopo katika barabara kuu inayotoka mjini babati kuelekea mkoani Arusha.   Ajali hiyo imelihusisha bus hilo lenye namba za usajili T 729 bes wakati lilipokuwa likitokea mjini...
 Bw Salumu ally meneja mahusiano ya nje vodacom akifungua bonanza la waandishi wa habari mkoa wa kagera katika viwanja vya gymkana bukoba mjini,bonanza  hilo limejumuisha waandisi wa habari wa magazeti,redio,television,na wapiga picha. bw salumu alieleza huduma mbalimbali zinazotolewa a vodacom na kueleza kuwa wanatambua mchango mkubwa unaotolewa na vyombo vya habari nakatika...

waliotembelea blog