Thursday, December 31, 2015

 Msanii Tekno Miles (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyomtambulisha rasmi kwa waandishi wa habari iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Msanii huyo anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na...
JANA Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ilibidi atulizwe munkari na Polisi ya kumpandishia Meneja mwenzake wa Sunderland Sam Allardyce wakati wa Mechi ya Ligi Kuu England Uwanjani Stadium of Light. Klopp alipandwa na jazba wakati Jeremiah Lens wa Sunderland alipomchezea rafu mbaya Beki wa Liverpool Mamadou Sakho. Wakati huo Liverpool walikuwa tayari washafunga Bao lao pekee na la ushindi kupitia...
ENGLAND imeanika Listi ya Wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Nchi yao ambapo pia ipo Tuzo kwa Chipukizi Vijana wa chini wa Miaka 21, U-21. Kepteni wa England, Wayne Rooney, ambae alishinda Tuzo hiyo Mwaka Jana, ni miongoni mwa Wachezaji Watano wanaogombea. Rooney Mwaka huu aliiongoza England kufuzu kuingia Fainali za...
Ronaldo akishangilia moja ya  bao lakeLeo La Liga imerejea tena na ndani ya Santiago Bernabeu, Mchezaji Bora Duniani Cristiano Ronaldo aliiongoza Real Madrid kuichapa Real Sociedad Bao 3-1 na kuongoza Ligi hii ya Spain pengine kwa muda tu hadi baadae Usiku huu. Ronaldo alikosa kuipa Real Bao wakati walipopewa Penati na yeye kuipaisha juu lakini Dakika ya 42 wakapata Penati nyingine...

waliotembelea blog