Thursday, August 28, 2014

  Toka nimeanza kuandika na kufatilia habari sijawahi kusikia jeshi la nchi limechukua hatamu kuendesha mashindano ya urembo tena mashindano yanayokutanisha warembo kutoka sehemu mbalimbali za taifa ili kumtafuta mshindi. Stori hii ya kipekee inatokea Uganda ambapo jeshi la nchi hiyo limeamua hivyo baada ya kuona ubabaishaji unaofanywa na Waandaaji wa Miss Uganda shindano ambalo...
Siku kadhaa baada ya Frank Lampard kutangaza kustaafu soka la kimataifa – jana ilikuwa siku nyingine kwa wanasoka wawili wa kimataifa barani nao walitangaza uamuzi wa kuachana na soka la kimataifa. Samuel Eto’o na Xabi Alonso kwa wakati tofauti jana walitumia mitandao ya kijamii kutangaza uamuzi wao wa kuachana na soka la kimataifa. Alianza Xabi Alonso kupitia mtandao wa Twitter...
Wiki kadhaa baada ya kuteuliwa kuwa nahodha mpya wa Manchester United, mshambuliaji Wayne Rooney leo amepata uongozi mpya kwenye medani za soka. Rooney ameteuliwa na kocha Roy Hodgson amemteua mshambuliaji huyo kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa. Rooney mwenye miaka 28 amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu. Rooney aliwahi kuvaa kitambaa...
Serengeti fiesta Moshi wapewa fursa ya kuonja radha Mhehimiwa Temba ametangaza rasmi kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “Wazee wa jiji” jumamosi hii. Serengeti fiesta Moshi wamepewa fursa ya kuonja radha ya wimbo huo siku ya Jumamosi katika uwanja Majengo Jijini humo. Mheshimiwa Temba ambaye ni mzawa wa jiji hilo anatarajia kutumia fura ya Serengeti fiesta Moshi kuuzindua...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea...
Ethiopia na Kenya zimetangaza niya ya kutaka kuwa wenyeji wa kombe la mataifa bingwa barani Afrika mwaka wa 2017 baada ya Libya kujiondoa.Libya ilitangaza kauli hiyo baada ya mapigano kuchacha baina ya makundi mawili hasimu yaliyowanyima waandalizi fursa ya kujenga viwanja vipya vya mashindano hayo.Ethiopia, ambayo imewahi kuwa mwenyeji wa mashindano hayo katika miaka ya 1962, 1968 na...
Straika wa Arsenal Olivier Giroud atakuwa nje ya Uwanja hadi baada ya Mwaka mpya kufuatia kufanyiwa upasuaji kutibu Mguu wake uliovunjika. Mfaransa huyo mwenye Miaka 27 aliumia Jumamosi iliyopita huko Goodison Park wakati Arsenal inatoka Sare 2-2 na Everton kwenye Mechi ya Ligi Kuu England. Akitangaza habari hizi, Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, alisema Giroud atakuwa nje kwa Miezi...
Alexis Sanchez akishangilia bao lake.Alexis Sanchez aliipachia bao na kufanya 1-0 dhidi ya timu ya Uturuki Besiktas kwenye dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza baada ya Jack Wilshere wa Arsenal kufanya jitihada na kumwachia afunge Sanchez aliyekuwa sehemu nzuri na kufunga bao hilo. Arsenal mpira huu hawakuumaliza 11 dakika ya 75 kipindi cha pili mchezaji wao Debuchy alipewa kadi ya...
Samuel Eto'o ametupilia mbali madai kuwa ana bifu na Jose Mourinho wakati timu yake mpya Everton ikijitayarisha kuikabili Klabu yake ya zamani Chelsea hapo Jumamosi. Eto’o, Mchezaji wa Kimataifa wa Cameroon, na Meneja wa Chelsea Jose Mourinho walikuwa pamoja huko Inter Milan na kutwaa UEFA CHAMPIONS LIGI pamoja na akaja England Mwaka mmoja uliopita kuungana na Mourinho huko Chelsea. Lakini...
Crystal Palace imemteua Bosi wao wa zamani Neil Warnock kama Meneja wao mpya. Warnock, mwenye Miaka 65 na ambae alikuwa Palace kati ya Mwaka 2007 na 2010, amesaini Mkataba wa Miaka Miwili. Mkongwe huyo mwenye makeke na vituko anachukuwa wadhifa kutoka kwa Tony Pulis ambae alibwaga manyanga Masaa 48 tu kabla Msimu mpya wa Ligi Kuu England kuanza hapo Agosti 16. Msimu uliopita, Tony Pulis,...

waliotembelea blog