obin van Persie yupo FIT kwa derby dhidi ya majirani zao Man city
Mshambuliaji Robin van persie amepona kabisa kwa mchezo wa jumapili
Alikosekana tangu tarehe 21 mwezi wa pili
Si rahisi kwa van Persie kuanza kikosi cha kwanza dhidi ya city.
Na Anwar binde,
Robin van Persie amejitangaza kuwa yupo vizuri kwa mchezo wa jumapili dhidi ya wapinzani wao wa jadi Manchester city.
Van Persie amekosekana...
Wednesday, April 8, 2015


Philippe Coutinho akishangilia bao lake dakika ya 71 huko Ugenini Ewood Park Kipindi cha pili dakika ya 71 Philippe Coutinho aliwafungia bao la kuongoza Liverpool kwa kufanya 1-0 dhidi ya Blackburn Rovers.Mapumziko hakuna Timu iliyoliona lango la mwenzake, Si Blackburn Rovers wala Liverpool.Raheem Sterring kaanza kipindi cha kwanza katika kipute hiki cha marudiano kati ya Blackburn Rovers vs...


MUDA mfupi uliopita kumefanyika mkutano
wa waandishi wa habari na uongozi wa African Stars wana Twanga Pepeta.
Mkutano huo uliofanyika Nemax Hotel, Kinondoni, Dar es Salaam,
mwanamuziki wa siku nyingi aliyekuwa akiendesha bendi yake ya Extra
Bongo ametangaza kuwa anarudi kwenye bendi yake ya zamani ya African
Stars maarufu kwa Twanga Pepeta. Pamoja na Ally Chocky waliokuweko
katika...


Aslay
Isihaka maarufu kwa jina la ‘Dogo Aslay’ na Bakari Abdul katuti ‘Beka’
wakiimba Moja ya Wimbo wao kwenye Ukumbi wa "Rest House" ukumbi wa
Jeshi Wilayani Biharamulo Mkoa wa Kagera kwenye Shoo yao iliyoweza
kushuhudiwa na Mashabiki wengi wa Muziki huo wa Bongo Flava katika
Ukumbi huo Biharamulo. Shoo hiyo ilifanyika Usiku wa tarehe 07.04.2015
katika Siku maalum...
Subscribe to:
Posts (Atom)