Wednesday, May 6, 2015

PUNDE Azam FC uso kwa uso na Mabingwa Young Africans katika Uwanja wa Taifa mechi ambayo endapo Azam itashinda itajihakikishia nafasi ya pili. Young Africans baada ya mchezo huu watakabidhiwa kombe la Ubingwa #VPL2015. MSIMAMO WAKE ULIVYO KWA SASA KABLA YA MTANANGE HU...
Mabingwa wa Italy, Juventus, wakiwa kwao Juventus Arena Jijini Turin Nchini Italy, wameanza vyema Nusu Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI walipowafunga Mabingwa Watetezi Real Madrid Bao 2-1. Juventus walipata Bao lao la kwanza Dakika ya 8 kutokana na pasi safi ya Marchisio kumkuta Carlos Tevez ambae Shuti lake lilitemwa na Kipa wa Real Casillas na kumkuta Alvaro Morata aliekwamisha Mpira...
BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha kutokaThailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam. Akizungumzia matayarisho ya mpambano huo promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa...
Zimeibuka ripoti kuwa Manchester United wameshinda kukurukakara za kumsaini Straika kinda wa Serbia anaechezea Klabu ya Anderlecht huko Ubelgiji.Straika huyo, Aleksandar Mitrovic mwenye Miaka 20, awali aliripotiwa kwenda Newcastle huku Arsenal na Swansea City zikimwania.Lakini habari zilizoibuka toka Italy zimedai sasa Straika huyo ambae ana Goli 20 na Anderlecht Msimu huu yupo njiani...
Bondia kutoka Ufilipino, Manny Pacquiao anatarajia kufanyiwa upasuaji wa bega la mkono wa kulia, ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya bondia Floyd Mayweather wa nchini Marekani.  Kwa mujibu wa tovuti ya ESPN bondia huyo alipambana na Mayweather huku akiwa na maumivu makali ya bega. Vipimo vya MRI alivyofanyia Pacquiao, mara baada ya pambano hilo vimeonyesha...
Mtu tajiri barani Afrika Aliko Dangote amesema kuwa bado anataka kuinunua kilabu ya Arsenal licha ya kushindwa kufanya hivyo mwaka 2010 alipotaka kununua hisa za kilabu hiyo. Bilionea huyo kutoka Nigeria ni tajiri mara nane ya alivyokuwa wakati alipojaribu kununua hisa za klabu hiyo na kwamba shabiki huyo wa Arsenal bado hajatupilia mbali ndoto yake ya kutaka kuinunua kilabu hiyo...

waliotembelea blog