Friday, December 18, 2015

Meneja wa bidhaa wa benki ya Barclays Tanzania, Valence Luteganya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuzindua kampeni ya matumizi ya Kadi za VISA za benki ya Barclays kwaajili ya wateja wake. Pia Lutenganya amesema kuwa kampeni hii itadumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Desemba 17 mwaka huu hadi Februari 28, 2016. Kampeni hii itamwezesha...
Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ya Mkoani Iringa imeibuka mshindi wa kwanza kimkoa na kushika nafasi za juu kikanda na kitaifa, kati ya Halmashauri tano za Mkoa wa Iringa, baada ya kufanya vizuri zaidi wakati wa mbio za mwenge wa uhuru ulipokimbishwa Mkoani Iringa mnamo mwezi Juni mwaka huu.     Taarifa ya kitengo cha habari na mawasiliano cha Halmashauri...
Wanamuziki nyota wa bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga maarufu kwa jina la Linah Sanga na Feza Kessy  ijumaa watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival. Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii nyota wa Nigeria kama, Davido, Kiss Daniel, Iyanya na  Olamide....
Download Diamond akipiga kinanda huku akimuimbia mpenzi wake Zari.   Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda.Staa wa Bongo, Jacqueline Wolper, akiongea jambo na Diamond.Gari ya Wolper katika video hiyo ikimmwagia maji Diamond.Diamond akiangalia vipande vya video hivyo kabla ya kuendelea...

waliotembelea blog