Wednesday, December 31, 2014

Na Bertha Lumala, Dar es SalaamVinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Mtibwa Sugar FC wamewaahidi wapenzi wa soka visiwani Zanzibar kufurahia makali yao ya msimu huu watakaposhiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi mwakani.Mtibwa Sugar FC, mabingwa wa Tanzania Bara 1999 na 2000, ni miongoni mwa timu nne za VPL zilizoalikwa na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kushiriki...
MOTO WA BURUDANI KUWAKA COCO BEACH MWAKA MPYA Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam.Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili litakalokutanisha...
MSIMAMO ULIVYO: PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Chelsea1914412746 2Manchester City1913422443 3Manchester United1910631436 4Southampton1910361733 5Arsenal199641133 6West Ham United19946731 7Tottenham Hotspur19946031 8Liverpool19847128 9Swansea City19847128 10Newcastle United19757-626 11Stoke City19748-225 12Everton19568-221 13Aston Villa19568-1121 14Sunderland193115-1120 15Queens Park Rangers195311-1318 16West...

waliotembelea blog