Thursday, June 25, 2015

Nathaniel Clyne yuko mbioni kujiunga na Liverpool baada ya Klabu yake Southampton kuikubali Ofa ya Pauni Milioni 12.5. Clyne, ambae ni Fulbeki wa Kulia, anakuwa Mchezaji wa 6 kusainiwa na Liverpool katika kipindi hiki cha kuelekea Msimu mpya. Uhamisho huu wa Clyne, mwenye Miaka 24 na ambae ameichezea England mara 5, utakamilika baada ya upimaji wa Afya yake na makubaliano ya maslahi yake ...
Zipo ripoti nzito toka England zinazodai Meneja wa Manchester United Louis van Gaal na Kipa wa Tottenham Hugo Lloris wamefikia muafaka na Kipa huyo wa Kimataifa wa France ambae ameshakubaliana kuhusu maslahi yake binafsi huko Old Trafford. Huku kukiwa na mipango ya chini chini ya Kipa Nambari Wani David de Gea kurudi kwao Spain kuidakia Real Madrid, kumchukua Hugo Lloris kunaelekea kuziba...
Wakicheza kwao Estadio Nacional de Chile, Santiago, Chile wameifunga Mtu 9 Uruguay Bao 1-0 na kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Marekani ya Kusini, COPA AMERICA. Bao hilo la Chile lilifungwa na Mauricio Isla katika Dakika ya 81 wakati Uruguay, Mabingwa Watetezi, wakicheza Mtu 10 baada ya Edinson Cavani kutolewa kwa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 63 kufuatia...

waliotembelea blog