Tuesday, April 7, 2015

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Rose Mhando akitoa burudani na waimbaji wake katika Tamasha la pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions, lilifanyika Uwanja wa Taifa leo ...
Maandamano ya Wanamichezo wa timu mbili za Wakaguzin na Wadhibiti wa hesabu za Serekali wa Zanzibar na Tanzania wakipita kwa maandamano wakati wa ufunguzi wa michezo yao iliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu ya CAG Tanzania imeshinda mchezo wa mpira kwa mabao 7--0. Maandamano ya Wanamichezo wa timu mbili za Wakaguzin na Wadhibiti wa hesabu za Serekali wa Zanzibar na Tanzania wakipita...
Na Faustine Ruta, Geita Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers kutoka Mjini Bukoba leo kimefanya Tamasha kubwa la Pasaka kwenye Mji wa Geita katika Ukumbi wa GEDECO na kushuhudiwa na Umati wa Watu wengi zikiwemo Kwaya mbalimbali za hapa Geita na Waumini mbalimbali na kuifurahia Pasaka hiyo ambayo ni Alama ya Ukombozi wa Mwanadamu dhidi ya Dhambi kupitia kifo na Ufufuko wa Yesu Kristo....
Na Faustine Ruta, Bukoba Kundi zima la Yamoto Band punde walitinga Katika Kituo cha Radio Kasibante 88.5 Bukoba kuongea moja kwa moja na Wakaazi wa Bukoba juu ya Shoo ya yao inayotarajiwa kufanyika Usiku huu katika Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night Bukoba. Bendi inayokuja kasi hapa Nchini inayoundwa na Vijana Machachari kama Aslay, Becka, Bella na Maromboso wameteta na Wanabukoba kwamba...

waliotembelea blog