Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi.
Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya
ligi hiyo, lakini wachezaji wapya wa Liverpool Christian Benteke na
kiungo Mbrazil Firmino wameonyesha wamepania kuiletea klau yao mambo
mazuri.
Katika mazoezi ya Liverpool, wachezaji hao na wenzao wamekuwa
wakifanya kila kitu kwa juhudi na kuonyesha kupanga kuleta...