Thursday, October 15, 2015

LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Jumamosi Oktoba 17 14:45 Tottenham v Liverpool 17:00 Chelsea v Aston Villa 17:00 Crystal Palace v West Ham 17:00 Everton v Man United 17:00 Man City v Bournemouth 17:00 Southampton v Leicester 17:00 West Brom v Sunderland 19:30 Watford v ArsenalJumapili Oktoba 18 18:00...
BAADA ya kupisha Mechi za Kimataifa kwa Wiki mbili, La Liga ipo dimbani Wikendi hii kwa Jumamosi kupigwa Mechi 5, Jumapili 4 na Jumatatu moja. Vinara wa Ligi hii ya Spain ni Villareal ambao wako Pointi 1 mbele ya Timu 3 ambazo ni Real Madrid, Celta Vigo na Barcelona ambazo zote zimefungana zikiwa na Pointi 15 kila mmoja na kupishana tu kwa ubora wa Magoli. Jumamosi Real Madrid wako kwao...
Gari aina ya Toyota Probox lenye namba za usajili T336 CKH likiendelea kuwaka moto eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar.     Wananchi wakiendelea kuzima moto huo.Moshi ukiwa umetanda.Muonekano wa gari hiyo wakati ikiendelea kuwaka moto.   Kitengo cha zima moto kikiendelea na kazi ya...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Pemba jioni ya leo kwenye kutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Gombani ya Kale mjini Pemba. Katika mkutano huo wa Kampeni,Dkt Magufuli ameahidi kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano,atadumisha na kuulinda Muungano...
 Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri.  ************* Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice...
KEPTENI wa Manchester United Wayne Rooney anatarajiwa kuwa fiti kwa Mechi ya Jumamosi ya Ligi Kuu England huko Goodison Park dhidi ya Klabu yake ya zamani Everton. Rooney aliumia Enka Wiki iliyopita akiwa Mazoezini na Timu ya England ambayo yeye pia ndio Nahodha na kuzikosa Mechi zake mbili za kumalizia Kundi E la EURO 2016 dhidi ya Estonia na Lithuania. Baada ya Mechi hiii ya Jumamosi,...
Klopp akiwapa darasa wachezaji wake wakati wa mazoezi Melwood baada ya kukutana nao wakiwa wamerudi baada ya mechi za kimataifa kupigwa.Klopp akifurahia jambo wakati wa mazoeziKopp akiwa kwenye mazoezi Melwoo...
FIFA imethibitisha kuwa inachunguza Uhamisho wa Eliaquim Mangala kutoka FC Porto kwenda Manchester City kutokana na kukiukwa kwa Sheria zinazokataza Mchezaji kumilikiwa na pande tatu. Mangala, Mchezaji wa Kimataifa wa France, ameichezea Man City mara 31 kwenye Ligi Kuu England tangu ahamie hapo kutoka Porto Agosti 2014 kwa Dau la Pauni Milioni 32. Imedaiwa kuwa Kampuni iitwayo Doyen Sports,...
JANA Cristiano Ronaldo alitwaa Buti ya Dhahabu baada ya kuwa Mfungaji Bora wa Ulaya kwa Msimu uliopita alipombwaga Lionel Messi na Kocha wa Nchi yake Portugal ameonya juu ya kumtoa nje Staa huyo wakati wa Mechi. Kocha wa Portugal, Fernando Santos, amemuonya Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez, juu ya madhara ya kumbadili Ronaldo wakati wa Mechi. Jumanne Ronaldo alifanikiwa kuzoa Buti ya...
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho ameadhibiwa na FA, Chama cha Soka England, kutokana na kauli yake na kupigwa Faini na kufungiwa Mechi 1 lakini Kifungo hicho kinasimamishwa kuangalia mwenendo wake. Adhabu hiyo ya Faini ya Pauni 50,000 pamoja na Kifungo inatokana na kumshambulia Refa Robert Madley hapo Oktoba 3 mara baada ya Chelsea kukung’utwa 3-1 na Southampton. Mourinho alikasirishwa...

waliotembelea blog